Habari za Punde

Wananchi waiomba Serikali kuanzisha mfuko wa Hijja

 Baadhi ya Masheikh waliohudhuria hafla ya kuwaaga mahujaaj watarajiwa , hafla  ilifanyika Masjid nurMuhammad, Mombasa kwa Mchina
 Miongoni mwa Mahujaaj akinamama ambao walishiriki katika hafla ya kuagwa mahujaaj wanaotarajiwa kwenda kutekeleza Ibada ya Hijja mwaka huu.
 Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Kabi pia alikuwepo wakati wa kuaga makundi yote yanayosimamiwa na Umoja wa Taasisi za Hija Zanzibar  (UTAHIZA ). Shughuli hii ilifanyika Masjid nurMuhammad, Mombasa kwa Mchina leo
 Baadhi ya Mahujaaj wanaotarajiwa kwenda kufanya Ibada ya Hijja mwaka huu wakiwa katika hafla ya kuaga makundi yote yanayosimamiwa na Umoja wa Taasisi za Hija Zanzibar  (UTAHIZA ). Shughuli hii ilifanyika Masjid nurMuhammad, Mombasa kwa Mchina
 Sh Mwita Mgeni Mwita  akiwakilisha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika kuaga Mahujaji wa Zanzibar 2015 ambapo Waislamu Zanzibar wameomba kuanzishwe Mfuko wa Hijja ili kufanikisha suala hili muhimu.Serikali imelipokea na kuahidi kulifanikisha haraka.
 Miongoni mwa Mahujaaj akinamama ambao walishiriki katika hafla ya kuagwa mahujaaj wanaotarajiwa kwenda kutekeleza Ibada ya Hijja mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.