Balozi Seif akipandisha Bendera ya Maskani ya CCM ya Vijana wa Kiwani Iliyopewa jina la Balozi Seif Maskani mara baada ya kuizindua rasmi katika sherehe iliyofanyika Jimboni humo.
Baadhi ya wanachama wa CCM na Wsananchi wa Kijiji cha Kiwani Michakweni wakifuatilia Hotuba ya Balozi Seif hayupo Pichani wakati wa uzinduzi wa Maskani ya Jina wa Kijiji hicho iliyopewa jina lake.
Balozi Seif akisalimiana na Sheikh Faki Mohammed Khamis ambae ni mlemavu asiyeona baada ya kusoma Quran Tukufu wakati wa uzinduzi wa Balozi Seif Maskani hapo Kiwani Wilaya ya Mkoani.Vijana wa Maskani ya CCM ya Balozi Seif iliyopo Kiwani wakitoa burdani ya nyimbo maalum iliyoanikiza katika uzinduzi wa Maskani yao waliyoamua kuipa jina la Balozi Seif Maskani.
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Shaka Hamdu Shaka akiwakumbusha Vijana wa Kiwani Michakweni kuelewa wajibu wao wa kuhakikisha CCM Inaendelea kushika dola kwa kuwapa ushindi wagombea wa Chama hicho.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wanachama wa CCM wa Jimbo la Kiwani mara baada ya kuizindua Balozi Seif Maskani ya Kijiji hicho.
Haiba ya Jengo la Balozi Seif Maskani liliopo Kiwani Kichakweni lililojengwa kwa kuzingatia Utamaduni wa Visiwa vya Zanzibar.
Picha na – OMR – ZNZ
No comments:
Post a Comment