Habari za Punde

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia Makini Mhe Tabu Mussa Juma Arejesha Fomu yake Tume ya Uchaguzi Zanzibar.


Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini Mhe Tabu Mussa Juma akiwasili katika viwanja vya Tume ya Uchaguzi zilioko hoteli ya bwawani Zanzibar.
Mgombea wa Demokrasia Makini Mhe Tabu Mussa Juma akiwasili Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar zilioko hoteli ya bwawani Zanzibar.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia Makini Mhe Tabu Mussa Juma akiwa na Viongozi wa Chama hicho wakimsindikiza Afisi za Tume ya Uchaguzi kwa ajili ya kurejesha Fomu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini Mhe Tabu Mussa Juma akiwa na Viongozi wa Chama hicho wakisubiri kukabidhi fomu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kwa tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini Mhe Tabu Mussa Juma akifurahia wakati akirejesha fomu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini Mhe Tabu Mussa Juma akimkabidhi mkoba wa fomu zake za kugombea Urais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha.S.Jecha.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini Mhe Tabu Mussa Juma, akimkabidhi fedha za malipo ya fomu ya Urais wa Zanzibar shilingi miliono mbili Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha.S.Jecha. wakati akirejesha fomu hizo Afisi ya Tume Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Mhe Jecha.S.Jecha akisaini fomu za Mgombea wa Chama cha Demokrasia Makini baada ya kuzipokea kwa ajili ya mchakato mwengine kukamilisha zoezi hilo.  
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini Mhe Tabu Mussa Juma akizungumza na waandishi wa habari na kuwataka wananchi kusubiri mabadiliko endapo watamchagua kuwa Rais wa Zanzibar na kuitaka Tume ya Uchaguzi kusimamia uchaguzi kwa haki.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.