Habari za Punde

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha TEDEA Juma Ali Khatib azindua kampeni

Wanachama wa Chama cha TADEA Muzdalfat na Khajra 

Khatib wakisoma utenzi katika ufunguzi wa Kampeni za 

chama hicho, huko katika Uwanja wa Kiuyu Mbuyuni Wilaya 

ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia chama cha TADEA Mhe:Juma Ali Khatib, akizungumza na wananchama wa Chama wa TADEA na wananchi wa Kiuyu Mbuyuni, Wilaya ya Micheweni wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho kisiwani Pemba



Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha TADEA Mhe:Juma Ali Khatib, akimnadi mgombea uwakilishi jumbo la Micheweni Makame Faki Nyange, wakati wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho huko Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba

 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia chama cha TADEA Mhe: Juma Ali Khatib, akimnadi mgombea Ubunge Jimbo la Micheweni Iddi Faraji Ramadhan, wakati wa ufunguzi wa Kampeni za Chama hicho huko Kiuu Mbuyuni Wilaya ya Micheweniu Kisiwani Pemba



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.