Habari za Punde

Mola Awatakabalie Hijja zao

In shaa Allaah, Hajjan mabruuran wadhamban maghfuuran. 
Mahujaaj kutoka Zanzibar wakiomba dua katika Viwanja vya Arafah jana, siku ambayo ni muhimu kwa kila Hajji. Siku ambayo Allaah huwasamehe waja wake madhambi yao yote. Siku ambayo ni bora katika katika masiku yote ya mwaka mzima. Allaahumma watakabalie Mahujaaj wote. Amin

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.