Habari za Punde

Ufunguzi wa Madrasatul-Rahman ya Chanjamjawiri Chake Chake Pemba.

 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Bi Hanuna Massoud Ibrahim, akipata maelezo mafupi kutoka kwa kiongozi wa taasisi ya Samail Academi Nassour Bin Said Al-Rawahiy ambae ni mfadhili wa Madrasa hiyo kabla ya ufunguzi wake.
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Bi Hanuna Ibrahim Massoud, akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Madrasatul-Rahman ya Chanjamjawiri Chake Chake Pemba.
MKUU wa Wilaya ya Chakwe Chake akizungumza na walimu, wazee pamoja na wanafunzi waliohudhuria katika ufunguzi wa Madrasatul-Rahman ya Chanjamjawiri Chake Chake Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.