Habari za Punde

ZEC yakutana na wadau wa Uchaguzi Zanzibar kwa ajili ya kupanga ratiba ya kampeni

IMG-20150904-WA0013
Wadau wa Uchaguzi kutoka vyombo vya ulinzi na vyama vya Siasa wakiwa katika kikao cha pamoja na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kwa ajili ya kupanga ratiba ya Kampeni, kikao hicho kilifanyika tarehe 04-09-2015 ukumbi wa afisi ya Tume ya Uchaguzi Maisara Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.