Habari za Punde

Matokeo rasmi ya Urais kwa majimbo tisa yaliyotangazwa leo na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)

MATOKEO YA YALIOTANGAZWA NA TUME LEO NI MAJIMBO 9 KWA URAIS WA ZANZIBAR

CHWAKA

CCM 6067 CUF 1943


UZINI



CCM 9941 CUF 1723



DIMANI

CCM 4818 CUF 1973

PANGAWE

CCM 3009 CUF 3276

MTONI

CCM 5336 CUF 5061

CHUMBUNI

CCM 4892 CUF 4679

KIWENGWA

CCM 2995 CUF 994

TUNGUU

CCM 7586 CUF 3103

MAHONDA

CCM 4352 CUF 1519



AHSANTENI



TUNASUBIRI MATOKEO MENGINE YATANGAZWE NA TUME YA ZEC

1 comment:

  1. Ahsante kwakutujuilisha hasa sisi tulio mbali na nyumbani, kumbe mpaka sasa tunaongoza sihaba

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.