Habari za Punde

Mgombea urais wa AFP akipiga kura Pemba

 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa chama cha AFP Mhe:Saidi Soud Saidi, akigongewa muhuri karatasi yake ya kupigia kura na mawakala wa tume ya uchagzui Zanzibar, baada ya kufika katika kituo chake cha Kupigia kura Mgogoni Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa chama cha AFP Mhe:Saidi Soud Saidi, akitia tiki karatasi yake ya kupigia kura ya kupigia kura baada ya kufika katika kituo chake cha Kupigia kura Mgogoni Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa chama cha AFP Mhe:Saidi Soud Saidi, akihakikiwa jina lake na wakala wa NEC mara baada ya kufika katika kituo chake cha Kupigia kura Mgogoni Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa chama cha AFP Mhe:Saidi Soud Saidi, akizungumza na waandishi wa habari kutoka katika vyombo mbali mbali vya habari, mara baada ya kupiga kura katika kituo chake cha Kupigia kura Mgogoni Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.