MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe:
Hamad Rashid Mohamed akisalimiana na wanafamia yake mara baada ya kufika katika
kituo cha kupigia Kura Wawi skuli, jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe:
Hamad Rashid Mohamed akitia tiki karatasi yake ya kupigia kura mara baada ya
kufika katika kituo cha kupigia kura katika skuli ya Wawi, jimbo la Wawi Wilaya
ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe:
Hamad Rashid Mohamed akitumbukiza karatasi ya Urais wa Zanzibar mara baada ya
kuipigia kura katika kituo cha kupiga Kura Wawi skuli, jimbo la Wawi Wilaya ya
Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe:
Hamad Rashid Mohamed akitumbukiza karatasi ya mgombea Udiwani wadi ya wawi,
mara baada ya kuipigia kura katika kituo cha kupigia Kura Wawi skuli, jimbo la
Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe:
Hamad Rashid Mohamed akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali
mbali vya habari mara baada ya kupiga kura katika kituo cha kupigia Kura Wawi
skuli, jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment