Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya Ndani na Nje wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri kutangazwa kwa Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar kwa sasa tayari majimbo manne tayari yameshatangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.
ZEC : Yahitimisha Mafunzo ya Wasaidizi wa Wasimamizi wa Uchaguzi
-
Kamishna wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Awadh Ali Said, akizungumza
wakati wa kufunga mafunzo.
Wasimamizi wasaidizi wa majimbo ya uchaguzi Zanziba...
44 minutes ago
Hizi picha watu wako bwawani ni za Muda mrefu mbona hamtupi update nini kinaendelea
ReplyDelete