Wananchi wakiwa katika harakati za kujipatia vifaa mbalimbali katika mnada wa marikiti Zanzibar huuzwa vifaa vilivyotumia na baadhi yake vyengine huwa vipya kwa matumizi ya nyumbani.
Msimu wa Matunda ya Mananasi na Cheza ukiwa
umeaza katika kisiwa cha Unguja na
kupalekea bidhaa hiyo kuonekana kwa wingi na bei yake kuwa ya chini nanasi moja
huuzwa kati ya shilingi 1000/= na 3000/= inategemeana na ukubwa wake
na fungo moja la cheza jemu huuzwa katika marikiti ya darajani shilingi 2000/=.
No comments:
Post a Comment