Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Hospitali Kuu ya Taifa Muimbili kufanya ziara ya hafla kuangalia utendaji wa Kazi wa Madaktari katika hospitali hiyo akiwa katika Kazi zake baada ya kuingia Madarakani.
Hapa Kazi Tu
Dk Magufuli akiwatembelea Wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya Muimbili Wadi ya Watoto na kuwajulia hali zao.
Wananchi waliofika katika Hoipitali Kuu ya Taifa Muimbili wakimsikiliza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli wakati wa ziara yake ya hafla katika Hospitali ya Muimbili Jijiji Dar es Salaam leo mchana.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akizungumza baada ya ziara yake katika Hospitali Kuu ya Taifa Muimbili leo mchana kuangalia utengaji wa Kazi wa Hospitali hiyo.
Dk Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa kwa matibabu Muhimbili
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akisalimiana na Wauguzi wa Hospitali ya Muimbili leo alipofanya ziara ya hafla hospitalini hapo.(Picha na Ikulu)
Asante mheshiwa rais, nazani umeyaona mazingira ya hospitali zetu za serikali zilivyo , tunakuomba mheshimiwa rais utuboroshee huduma za afya, naamini wewe ni tingatinga usiwamumilie kabisa wafanyakazi wazembe katika kila sekta na wizara zote, mungu akupe nguvu na ujasiri ili uweze kuendelea kuwa na uchungu wa raia wako munge akupe hekma uzidishe mapenzi kwa raia wao hasa wanyonge na maskini tuko pamoja na wewe rais wetuuu mungu akupe nguvu ili tupate mafanikio ya haraka katika taifa letu
ReplyDeleteAKIFANYA HIVO ATAWAPA WANACHI MATUMAINI NA FARAJA NA KUKIPENDA CHAMA CHAMA CHA CCM
ReplyDeleteHAPO NI SAWA
ReplyDeleteHizi ziara ni za ghaflah, inakuwaje waandishi wa habari wapo wengi na live?
ReplyDeleteJamani kwanini tunafurahia mema ya wenzetu tu, hivi tunadhani akifanya MAGUFULI na sisi ndio yatakua yametufikia?
ReplyDelete