Habari za Punde

Mnada wa samaki bandari ya Msuka, Micheweni Pemba

BAADA ya hali ya kisiasa kutulia kisiwani Pemba, wavuvi wameanza kwenda baharini nao wachuuzi wa samaki wamekuwa wakifika katika masoko mbali mbali kwa ajili ya kununua samaki, huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha, Pichani wachuuzi wakiwa katika mnada wa samaki katika bandari ya Msuka Wilaya ya Micheweni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.