LICHA ya Serikali kujenga barabara mbali mbali za ndani kwa kiwango cha fusi kisiwani Pemba, huku wakandarasi wakishindwa kuweka maeneo ya kupitishia maji kipindi cha mvua, Pichani gari ikipita kwa tabu katika eneo la mbunu Wilaya ya Chake Chake, baada ya wananchi kupiga msingi katikati ya barabara hiyo ili kuruhusu maji kupita baada ya kuleta athari katika makazi yao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)
LICHA ya Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo
mbali mbali ya kisiwa cha Pemba, lakini bado taasisi zinazohusika na masuala ya
usafi wa mji zinapaswa kuhakikisha miji inakuwa safi ili kuepusha maradhi ya
matumbo, pichani takataka zikiwa zimerudikana katika dampo lililopo Machomanne
kwa n’gande.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
No comments:
Post a Comment