Habari za Punde

Harakati katika Mitaa ya Darajani Mjini Zenj.

Wananchi  wakiwa katika harakati za kujitafutia mahitaji yao katika maeneo ya mji wa Zanzibar  kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika eneo maarufu la darajani wakiwa katika harakati zao za kila siku kujipatia mahitaji yao.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.