Waandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, wakifurahia kupata fagio walizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Zahanati ya Mji Mwema Kigamboni, Dar es Salaam, Omary Kombe (kulia), katika hafla iliyofanyika katika chumba cha habari cha gazeti hilo, Dar es Salaam. Kombe ametoa msaada huo kuunga mkono maelekezo ya Rais Dk. John Magufuli ya kufuta sherehe za Sikukuu ya Uhuru ili wananchi washiriki siku hiyo kufanya usafi wa mazingira kwa lengo la kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
NGALIMANAYO: NIPO TAYARI KUIHUDUMIA KATA YA MJINI KWA MOYO WANGU WOTE.
-
Songea_Ruvuma.
Mgombea udiwani wa Kata ya Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mathew
Ngalimanayo, amerejesha fomu ya uteuzi Tukio hilo limevuta hisi...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment