Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiagana na kiongozi wa ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, baada ya kushiriki mazishi ya Mbunge huyo mstaafu wa CUF.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitia mchanga katika kaburi la marehemu Bi. Amina Abdallah Amour katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar. Marehemu Bi. Amina ambaye alifariki ghafla jana mchana, aliwahi kuwa Mbunge wa Viti maalum (CUF) katika awamu iliyopita na baadaye kujiunga na Chama Cha ACT-Wazalendo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na kiongozi wa ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, wakiwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar kushiriki mazishi hayo
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiwapungia mkono wananchi katika mtaa wa Mwembe Tanga Zanzibar, katika hafla ya mazishi ya Mbunge huyo Mstaafu wa CUF.
TFS YAONGOZA TUZO YA USIMAMIZI BORA WA FEDHA 2025
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umeendelea kung’ara kitaifa baada
ya kutwaa Tuzo ya Usimamizi Bora wa Fedha kwa Taasi...
34 minutes ago
No comments:
Post a Comment