Habari za Punde

Ni adha ya usafiri lakini ni hatari kwa maisha

IPO haja kwa wananchi kuchukuwa tahadhari wakati wanapopanda katika daladala, picha gari ya abiria ruti ya Vitongoji Chake Chake, ikiwa imening'iniza watu saba kwenye kibao cha nje, wakati ilipokuwa ikielekea Vitongoji kutoka Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.