Habari za Punde

Misumeno ya moto kama kawa licha ya Serikali kuipiga marufuku

LICHA ya Serikali kupiga marufuku utumiaji wa misumeno ya moto (Chensoo)na kuweka mikakati madhubuti juu ya kuiteketeza misumeno hiyo, lakini bado baadhi ya wananchi wamekuwa wakiitumia vibaya kwa kuteketeza miti kiholela, pichani wananchi wakipasua mbao za mnazi baada ya kuukata mti hio huko Gando Wilaya ya Wete.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.