Habari za Punde

Zanzibar Heroes yaanza kujinoa kujiandaa na Challenge Cup

 Mwenyekiti wa kamati ya muda chama cha mpira wa miguu Zanzibar Husein Ahmada akizungumza na wachezaji wa timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) baada yakumaliza mazoezi ya timu hiyo asubuhi ya leo.


Timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imeanza kujinoa kujiandaa na mashindano challenge cup yanayotarajia kufanyika nchini Ethiopia mwishoni mwa mwezi huu. 

Picha kwa hisani ya Ibny Khamis 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.