Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo
Zanzibar Mhe Ali Mwinyikai akizungumza na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya
Zanzibar alipotembelea timu hiyo wakati wa mazoezi yao katika Uwanja wa Amani
Zanzibar na kukabidhi vifaa vya mazoezi kwa ajili ya timu hiyo inayojiandaa na
Michuano ya Chalenji Nchi Ethiopia mwezi huu.
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar wakimsikiliza
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Ali Mwinyikai wakati alipofika kuitembelea
timu hiyo ikiwa katika mazoezi ya kujiandaa na Michuano ya Chalenji
yanayotarajiwa kufanyika mwezi huu Nchini Ethiopia.
Jopo la Viongozi wa Timu ya Taifa ya Zanzibar wakimsikiliza
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Ali Mwinyikai
alipoitembelea timu hiyo ikiwa katika mazoezi katika uwanja wa Amani Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na
Michezo Mhe Ali Mwinyikai akimkabidhi seti za viatu Mjumbe wa Kamati ya Tendaji
ya ZFA Hashim Salum vifaa hivyo kwa ajili ya wachezaji wa Timu ya Taifa kwa
ajili ya mazoezi yao ya kujiandaa ni Michuano ya Chalenji yanayotarajiwa kufanyika mwezi huu Nchi
Ethiopia.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Dk Ali Mwinyikai
akimkabidhi vifaa vya michezo Mipira na viatu vya mpira kwa ajili ya mazoezi ya
Timu ya Taifa ya Zanzibar, Mjumbe wa Kamati Tendaji ya ZFA Hashim Salum,
makabidhiano hayo yamefanyika katika uwanja wa Amani Zanzibar wakati wa mazoezi
ya timu hiyo
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya ZFA Hashim Salum akitowa
shukrani kwa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo kwa msaada wao kwa
Timu ya Taifa ya Vifaa vya mazoezi kwa ajili ya wachezaji hao na kuahidi
kufanya vizuri na kurudi na Kombe la Ubingwa wa Chalenji mwaka huu.

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar wakiwa katika uwanja wa amani baada ya
kukabidhiwa vifaa vya mazoezi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni
Utalii na Michezo Zanzibar Ali Mwinyikai
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar wakiwa katika uwanja wa amani baada ya
kukabidhiwa vifaa vya mazoezi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni
Utalii na Michezo Zanzibar Ali Mwinyikai
No comments:
Post a Comment