Thursday, December 24, 2015

Ligi Kuu ya Zanzibar Chuoni na JKU Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU imeshinda 1--0.

 Washabiki wa Timu ya Chuoni wakishangilia Timu yao wakati ikicheza na Timu ya JKUmchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar JKU imeshinda 1--0.
 Beki wa Timu ya Chuoni akiondoa mpira gilino kwake huku mshambuliaji wa timu ya JKU akiwa tayari kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya JKU imeshinda bao 1--0