Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Miembeni na Kijichi. Uwanja wa Amaan Timu hizo Zimetoka sare 1--1

Mchezaji wa Kijichi na Miembeni wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya 1---1



Goli la kusawazisha la timu ya Kijichi dhidi ya timu ya miembeni wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
 Beki wa timu ya miembeni akimkata mtama mshambuliaji wa timu ya Kijichi.
Mchezaji wa Timu ya Kijichi akijiandaa kuzuima mpira huku beki wa timu ya miembeni akijiandaa kumzuiya.

Mashabiki wa timu ya Kijichi wakiishangilia timu yao wakati ikicheza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya 1--1 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.