Habari za Punde

Meli ya Kitalii Ikiwa Katika Bandari ya Malindi Zanzibar

Meli ya Kitalii ya Nautica ikiwa katika Bandari ya Malindi Zanzibar ikiwa na Watalii 400 kutoka Nchi Mbalimbali Wakitalii katika Visiwa vya Zanzibar na Kujionea sehemu za Historia ya Zanzibar. Wakiwa Zanzibar kwa Siku moja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.