Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/26 iliyokuwa ikisomwa Waziri wa Fedha wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt.Saada Mkuya Salum.12 Juni, 2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia ZBC ya uwasilishaji wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2025/2026, inayowasilishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango, Mhe. Saada Mkuya Salum, katika Baraza la Wawakilishi leo, tarehe 12 Juni 2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.