Tatizo la wanyama kuzurura ovyo katika maeneo ya mji wa Zanzibar bado tatozo hilo lipo kwa baadhi ya wafungaji kuwaachia mifugo yao kuzurura ovyo barabaranin na katika majaa ya taa kama kamera yetu ulivyowanasa mbuzi hawa wakiwa katika moja ya kontena la taka katika eneo muembenjugu wakipata mlo.
Mjasiri amali akiwa na bidhaa zake akitembea kutafuta wateja wa bidhaa hizo akiwa katika mitaa ya fuoni maharibiko.
No comments:
Post a Comment