Waombolezaji wakiwa katika msiba wa mchungaji kiongozi wa Kanisa la Pentekoste la Jumbi,
Elias Funga uliofanyika nyumbani kwake Jumbi Mkoa wa Kusini Unguja.
Mgombea
Uwakilishi Jimbo la Tunguu (CCM), Simai Mohammed Said akitoa heshima ya mwisho
mbele ya mwili wa mchungaji kiongozi wa kanisa la Pentekoste la Jumbi , Elias
Funga, mazishi hayo yalifanyika Jumbi Mkoa wa Kusini Unguja
Waombolezaji
wakiwa katika mazishi ya mchungaji kiongozi wa Kanisa Pentekoste la Jumbi,
Elias Funga yaliofanyika Jumbi Mkoa wa Kusini Unguja.
Askofu
Daniel Kwilemba kutoka Kanisa la Pefa liliopo Kisauni Unguja akiweka mchanga kwenye
kaburi la mchungaji kiongozi wa Kanisa Pentekoste la Jumbi, Elias Funga,
mazishi hayo yalifanyika Jumbi Mkoa wa Kusini Unguja.
Mjane wa marehemu
mchungaji kiongozi wa Kanisa la pentekoste la Jumbi, Elias Funga, Lucia Funga
akiweka shada la maua katika kaburi la mumewe.
Mgombea
Uwakilishi Jimbo la Tunguu (CCM), Simai Mohammed Said akiweka shada la maua
katika kaburi la mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentekoste la Jumbi, Elias
Funga, maziko hayo yalifanyika Jumbi Mkoa wa Kusini Unguja
No comments:
Post a Comment