Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Ikiendelea katika Uwanja wa Amaan leo Jioni ilikiwa Mchezo wa JKU na Jamuhuri Timu ya JKU imeshinda 3-0


Mshambuliaji wa Timu ya Jamuhuri akiondoa mpira langoni kwake huku mchezaji wa TYimu ya JKU akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya JKU imeshinda kwa mabao 3-0 
Mchezaji wa Timu ya Jamuhuri na JKU wakiwania mpira.
Mshambuliaji wa Timu ya Jamuhuri akizuiya mpira wakati wa mchezo wao na Timu ya JKU ulifanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kipa wa Timu ya JKU akidaka mpira huku mshambuliaji wa Timu Jamuhuri akiwa tayari kuleta madhara 
Mchezaji wa JKU na Jamuhuri wakiwania mpira.wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya JKU imeshinda 3-0.
Wachezaji wa Timu ya Jamuhuri wakiwa memesimama baada ya kutolewa Taarifa ya Kifo cha Muamuzi wa Kmataifa Juma Ali Devid kufariki dunia jioni ya leo kisiwani Pemba
Wapenzi wa Mchezo wa Soka Zanzibar wakisimama kwa dakika moja kuombeleza Kifo cha Mkufunzi wa Marefarii na Refari wa Kimataifa Juma Ali Devid aliefariki jioni hii kisiwani Pemba baada ya kuungua kwa muda mrefu Mwenyenzi Mungu amlaze mahala pema Peponi Amaan.
Wachezaji wa Timu ya JKU na Jamuhuri wakisimama kwa dakika moja kuombeleza Kifo cha Muamuzi wa Kimataifa Juma Ali David kilichotokea jioni hii kisiwani Pemba  anakoishi.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.