Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ziarani Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa ushauri  kwa Mkandarasi  wa  Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD inayojenga Machinjio ya Ngo’mbe Elimeka Shumu(wa tatu kulia) wakati alipotembelea machinjio hayo leo Wesha

Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi  wa Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD Elimeka Shumu (kushoto) inayofanyia matengenezo  Ofisi ya Baraza la Mji wa Chake chake   wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi huo leo  Wilaya ya Chakechake Mkoa
wa Kusini Pemba ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mwanajuma Majid(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed(wa pili kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Joseph Meza wakielekea kutembelea Ofisi ya Baraza la Mji wa Chake chake inayofanyia matengenezo Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD  ya Dar es Salaam,ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya

Zanziba. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na wananchi wa maeneo ya Chachani- Minanzini Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo baada ya kutembelea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Vidaraja (Steps) uliojengwa na Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD  ya Dar es Salaam,ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na wananchi wa Mkoani Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini Pemba leo baada ya kutembelea maendeleo ya miradi wa ujenzi wa Vidaraja (Steps)na mitaro ya maji ya mvua iliojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra

shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba

Mkandarasi wa Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar Ali Mbarouk akitoa maelezo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea miradi ya ujenzi wa Vidaraja (Steps)Kikwajuni Skuli ya Ng’ombeni na mitaro ya maji ya

mvua kutoka Mikarafuuni  hadi Mpika Tango leo ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Issa Juma Othman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Mkoa wa Kusini Pemba Issa Juma Othman wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji

Mkoani leo inayojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Mkoa wa Kusini Pemba Issa Juma Othman wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa mitaro ya maji ya mvua kutoka Mikarafuuni hadi Mpika Tango leo iliyojengwa na Kampuni ya

ZECCON CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Issa Juma Othman (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Hemedi Rashid wakati alipotembelea leo miradi ya ujenzi wa Vidaraja Steps)Kikwajuni Skuli ya Ng’ombeni vilivyojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar  ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.