MKULIMA wa mbogamboga kijiji cha Pujini
Wilaya ya Chakechake Pemba, Makame Ali Suleiman akizungumza na mwandishi wa
habari wa shirka la Magazeti ya serikali Pemba Habiba Zarali Rukuni katika shamba lake, (Picha na Khatib Mjaja Pemba).
MKULIMA wa mbogamboga kijiji cha kijili Pujini Wilaya
ya Chake chake kisiwani Pemba Makame Ali Suleiman akivuna mabamia katika shamba
lake, (Picha na Khatib Juma Mjaja,
Pemba).
MKULIMA wa mbogamboga kijiji cha Pujini
Wilaya ya Chakechake Pemba, Makame Ali Suleiman akizungumza na mwandishi wa
habari wa shirka la Magazeti ya serikali Pemba Habiba Zarali Rukuni na Ali
Khatib Chawaya mwandishi wa kujitegemea, katika shamba lake, (Picha na Khatib Mjaja Pemba).
No comments:
Post a Comment