MATANGAZO MADOGO MADOGO

Monday, January 4, 2016

Wafanyakazi Wizara ya Habari Pemba wafanya usafi kuelekea maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi


WAFANYAKAZI wa Wizara ya Habari Kisiwani Pemba, wakifanya usafi katika jengo lao ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya Miaka 52 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)