Habari za Punde

Kombe la Mapinduzi Simba na Jamuhuri Uwanja wa Amaan Timu Hizo Zimetoka Sare ya 1--1.


Kikosi cha Timu ya Simba kilichomenyana na Timu ya Jamuhuri kutoka Pemba na kuendeshwa puta kwa kutaka sare ya 1--1 wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kikosi cha Timu ya Timu ya Jamuhuri kutoka Pemba iliotowa upinzani mkali kwa Timu ya Simba wakati wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar na timu hizo kutoka sare ya bao 1--1.klna kuendeshwa puta kwa kutaka sare ya 1--1 
Kocha Mkuu wa Timu ya Simba akitowa maelekezo kwa mchazaji wake kabla ya mchezo kuaza.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.