Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa ZFA Zanzibar Alhajj Haji Ameir Azungumza na Waandishi kulaani Kauli ya Rais wa TFF Malizi

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar ZFA Alhajj Haji Ameir akizungumza na waandishi wa habari za michezo Zanzibar kuhusiana na Kauli iliotolewa na Rais wa TFF Malinzi kuhusiana na Kamati hiyo ikiwa haiko kihalali, Alhajj Haji Ameir amesema kamati hiyo imepata baraka zote na kuweza kusimamia shughuli za mpira Zanzibar. mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar. 

Makamu Mwenyekiti wa ZFA Alhajj   Haji Ameir, akionesha moja ya barua kwa waandishi wa habari za michezo Zanzibar uhalali wa Kamati ya Muda ya ZFA, anayosema Rais wa TFF kuwa haiko kihalali kamati hiyo ikio kihalali na kufafanua uhalali wa Kamati hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.