Habari za Punde

Matembezi ya Umoja wa Vijana kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
  Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita  mbele ya mgeni rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi ya Vijana hao waliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kutoka kwa Kiongozi wa Matembezita Umoja wa Vijana wa CCM Daudi Ismail katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma khamis ,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikimkabidhi  Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma khamis baada ya  kupokea picha hiyo kutoka kwa Kiongozi wa Matembezita Umoja wa Vijana wa CCM Daudi Ismail katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akimkaribisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa kuzungumza na Vijana walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,baadae kumakaribisha mgeni rasmiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

 Vijana wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi CCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofikia kilele katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja le wa kila kiapo cha kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar  mbele ya mgeni rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,baada ya kuyapokea matembezi hayo yaliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama,[Picha na Ikulu.]
 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Vijana walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,[ Picha na Ikulu.]
 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja na kupolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[ Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja(kulia) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan,na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis(kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi PPandu Ameir Kificho na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka,{picha na Ikulu.}

4 comments:

  1. Huwezi weka commment zenye maana hapa. usitudanganye. Ukweli hamuutaki.

    ReplyDelete
  2. Huwezi weka commment zenye maana hapa. usitudanganye. Ukweli hamuutaki.

    ReplyDelete
  3. Huwezi weka commment zenye maana hapa. usitudanganye. Ukweli hamuutaki.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.