MATANGAZO MADOGO MADOGO

Sunday, January 10, 2016

Meli ya MV Mapinduzi 2 ikiwasili katika Bandari ya Unguja Ikitokea Pemba.


Meli ya MV Mapinduzi 2 ikiwasili katika bandari ya Zanzibar ikitokea Kisiwani Pemba baada ya aza safari zake juzi kwa kuazia na safari hizi Pemba ikiwasili na abiria 1200, Unguja na kufunga gati kati bandari hiyo.

MV Mapinduzi ikifunga gati katika bandari ya Malindi Unguja jana ikitokea kisiwani Pemba. 
Abiria wakiwa katika moja ya deki ya meli hiyo wakiandalia mandhari ya banari ya malindi Unguja.

Baadhi ya Abiria 1200 walisafiri nac Meli ya MV Mapinduzi wakitokea kisiwanin Pemba wakisuka baada ya kufunga gati katika bandari ya Malindi Unguja jana mchana.
Abiria wakishuka katika Meli ya M V Mapinduzi katika bandari ya malindi kisiwani Unguja.