Habari za Punde

Timu za Mafunzo. JKU vyakabidhiwa vifaa vya Michezo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Vifaa vya Michezo Nahodha wa Timu ya Mafunzo Mpira wa Miguu (Football) Haji Ramadhan Mwambe katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja leo,timu hiyo itashiriki mashindano ya klabu bingwa Afrika kwa kupambana na Timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) kwenye Uwanja wa Amaan tarehe 13 Februari, 2016(katikati) Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Bi.Sharifa Kahamis,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Vifaa vya Michezo Nahodha wa Timu ya Mpira wa Miguu JKU Ponsiana Malik Joseph katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Unguja leo,timu ya JKU ambayo inashiriki Kombe la Shirikisho itapambana na timu ya Gaborone United ya Botswana katika uwanja huo huo  wa Amaan Studium tarehe 14 Februari,2016.[Picha na Ikulu.) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.