Habari za Punde

Makamu wa Rais ahudhuria Hafla ya kuwapongeza Vijana wa kuhifadhi Qur'aan

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mshereheshaji Sheikh Saleh wakati alipowasili kwenye Hafla ya Kuwapongeza Vijana wajumuia ya kuhifadhi Qur an jana kwenye Hotel ya Hyatt Regency
 Baadhi ya Mabalozi nchini Tanzania wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania alipokuwa anahutubia kwenye Hafla ya kuwapongeza vijana wa jumuia kuhifadhi Qur an jana tarehe 28/01/2016
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan  akimkabidhi cheti Hamza Lusanga wakati wa hafla ya kuwapongeza Vijana wa  jumuia ya Kuhifadhi  Qur –an yaliyofanyika kwenye Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam jana tarehe 28/01/2016


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Cheti mwanafunzi Aziza Juma  wakati wa hafla ya  kuwapongeza Vijana wa Jumuia ya kuhifadhi Qur an yalifonyika katika Hotel ya Hyatt Regency, jijini Da es Salaam.
Dkt Abdallah Ghaylaan Mwakilishi wa taasisi ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur-an wa Saudia akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mh Samia Suluhu Hassan Tunzo ya kutambua mchango wake katika Malezi wakati wa Hafla ya kuwapongeza Vijana wa jumuia ya Kuhifadhi Qur-an Tanzania waliohitimu katika  Vyuo Vikuu mbali mbali  jana tarehe 28/01/2016 kwenye hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.