Habari za Punde

Ligi ya Daraja la Kwanza Timu ya Taifa ya Jangombe Watoto wa Ngambu na Idumu ya Unguja Ukuu


 Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe Watoto wa Ngombe wakipasha misuli kabla ya mchezo wao na Timu ya Idumu ya Unguja Ukuu kuwania nafasi ya kushiriki Ligi Kuu ya Zanzibar kwa mwaka ujao mmchezo uliofanyia usiku uwanja wa Amaan Zanzibar.  
 
Wapenzi wa Timu ya Taifa ya Jangombe wakiishangilia Timu yao wakiwa jukwaa la Urusi.
 Kikosi cha Timu ya Idumu ya Unguja Ukuu wakipasha kabla ya mchezo wao na Timu ya Taifa ya Jangombe uliofanyika uwanja wa Amaan jana Usiku.



Kikosi cha Timu ya Taifa ya Jangombe kilichocheza na Timu ya Idumu ya Unguja Ukuu katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku. 
Kikosi cha Timu Idumu ya Unguja Ukuu kilichopambana na Timu ya Taifa ya Jangiombe Uwanja wa Amaan Zanzibar 


 Wachezaji wa timu ya Idumu ya Unguja Ukuu wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa katika dakika ya 8 ya mchezo huo kipindi cha kwanza na mshambuliaji Ramadhani Omar 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.