Habari za Punde

Rais Magufuli Akutana na Baadhi ya Makundi Yalioshiriki Naye Kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwaka 2015

Rais John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mhe January Makamba huku Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Nape Nnauye kabla ya kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
 Rais John Pombe Joseph Magufuli na Mama Janeth Magufuli wakiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)  Mhe January Makamba huku Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Nape Nnauye wakielekea ukumbini kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimia katika mkutano wa Rais John Pombe Joseph Magufuli na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
Rais John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi




Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na kundi la sanaa la Tanzania One Theatre baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wataalamu wa TEHAMA baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamis
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Fleva  baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na wasanii wa Bongo Movie   baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na sehemu ya wanahabari  aliokuwa nao katika kampeni baada ya kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Mawziri Nnape Nnauye na January Makamba  katika picha ya pamoja na msanii Mzee Yusuf ambaye amewakilisha kundi la taarabu baada ya Rais kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi
Rais John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na watendaji kutoka CCM Makao Makuu  baada ya  kuongea  na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 18, 2016
Picha na Ikulu.



leo Alhamisi February 18, 2016

Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.