Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba
akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea Song,Geum Young
alipomtembelea Muheshimiwa Waziri Ofisini kwake mtaa Luthuli
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na
Mazingira, January Makamba akiongea na Balozi wa Korea Nchini Bwana Song Geun
Young alimpomtembelea Waziri huyo Ofisini kwake leo, Wa kwanza kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mazingira Richard Muyungi.
No comments:
Post a Comment