Habari za Punde

Zoezi la Udhibiti wa Uingiaji wa Magari Mji Mkongwe Laaza Rasmin katika Barabara hizo.

Zoezi la kudhibiti uingiaji wa magari katika Mji Mkongwe wa Zanzibar laaza kazi katika barabara hizo zilioko katika Mji Mkongwe kwa kuziweka kuwa njia moja kwa kwenda tu.Hii ni moja ya barabara hizo ilioko katika eneo la mzunguko wa barabara ya kuingia Bandarini kwenda Forodhani tayari limeanza kutumia na kupunguza msongamano wa magari katika eneo la kuingia katika bandari eneo la abiria wa boti za kwenda Dar kama linavyoonekana pichani likiwa katika hali ya utulivu wa msongamano wa magari kama lilivyozoeleka hapo awali.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.