Habari za Punde

Jengo la Ofisi ya Mbunge wa Chumbuni

Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Mhe. Ussi Salum Pondeza AMJAD ikiwa katika eneo la Muembemakumbi kwa ajili ya Wananchi wa Jimbo lake kufika Ofisini hapo kwa ajili ya Maendeleo ya Jimbo lao na kutoa kero zao ili kuchukuliwa hatua za kuzitatua. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.