Habari za Punde

Soko la Chakechake Lafanyiwa Ukarabati Mkubwa wa Paa Lake.

 Mafunzi Kisiwani Pemba wakiezua vigae katika Soko Kuu la Chakechake kwa ajili la kulifanyia ukarabati wa paa la Soko hilo kwa kuwa na hali isiyoridhika  na kuliweka katika mazingira mazuri ya paa hilo kwa ajili ya matumizi ya wafanyabiashara wa eneo hilo kuwa katika mazingira mazuri kutowa huduma kwa wateja wanaofika Sokoni hapo kupata mahitaji yao. 

'TWAEZUA KISHA TUTAEZEKA' Mafundi wakiezua soko kuu la matunda la mjini Chakechake Pemba, ambalo linasadikiwa lilijengwa baina ya mwaka 1948 hadi mwaka 1950, ambapo lilianza kuvuja tokea mwaka juzi na sasa baraza la Mji liko mbioni kutala kuliezeka, (picha na Haji Nassor, Pemba)

1 comment:

  1. Yaani likiezuliwa na kuezekwa upya matatizo tatakuwa yameshatatuliwa.
    Baada ya miaka yote hiyo hakuna mabadiliko pamoja na mji kukuwa na mahitaji kuongezeka?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.