Habari za Punde

Dk Shein Amtembelea Maalim Seif Hotelini Serena Jijini Dar Akiwa katika Mapunziko Baada ya Kuruhusia kutoka Hospitali jana.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amtembelea Makamu waKwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, kumjulia hali yake baada ya kupa ruhusa akiwa na Waziri Dkt. Mwinyihaji Makame, walipofika katika hoteli ya Serena Dar es Salaam. leo kumtembelea Maalim Seif kwa ajili ya kumjuilia hali. baada ya kuruhusiwa kurejea nyumbani kutoka katika hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam, amesema afya yake inazidi kuimarika siku hadi siku. Dkt. Shein alifika hotelini hapo leo majira ya saa mbili usiku. (Picha na Salmin Said, OMKR)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.