Habari za Punde

Makamu wa Rais akutana na Balozi wa Kongo nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Congo Nchini Tanzania Mhe. Mutamba Jean Pierne, wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini Kwake Ikulu Dar es salaam leo March 07, 2016

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.