MATANGAZO MADOGO MADOGO

Friday, March 4, 2016

Mambo ya usanii hayo

RISASI ZIMEISHA?----------NI mtu na mwanawe wa kumzaa ambao wote kwa sasa ni wasanii kwenye kundi la maigizo la Mkoani wilaya ya Mkoani Pemba, ambapo walikuwa kwenye igizo baada ya mtoto yeye kuigiza kama Polisi na baba mtu yeye kama mgombea aliesababisha mauwaji kwa mgombea mwenzake, igizo hilo lililovuta hisia za wengi lilifanyika Uwanja wa Tennis Chakechake Pemba kwenye sherehe za siku ya sheria , (Picha na Haji Nassor)