Waandishi wa Habari wakifuatilia Mkutano huo wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taiza NEC.
Jaji Mstaaf Damian Lubuva akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wake na Waandishi wa Habari mbalimbali kuhusiana na Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kijitoupule Zanzibar unaotarajiwa kufanyika kesho.kulia Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Tanzania
Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari vya Nje na Ndani wakifuatilia Taarifa ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa NEC Mhe Jaji Mstaaf Damian Lubuva, akitoa taarifa ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kijitoupele Zanzibar ambalo linafanya Uchaguzi wake Mdogo kesho 20,march 2016. Mkutano huo wa Waandishi wa Habari umefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
No comments:
Post a Comment