Habari za Punde

Zantel Yakabidhi Msaada kwa Watoto Wenye Ulemavu wa Macho wa Shule ya Msingi Kisiwandui Unguja.

 Mshauri wa Mahusiano ya Umma wa Zantel, Mohamed Mussa akizungumza wakati akikabidhi vifaa vya kusomea kwa watoto wenye ulemavu wa macho wa shule ya msingi Kisiwandui. kwa mwalimu mkuu wa shule Bi Taifa Ahmed pamoja na Mkurugenzi wa Elimu ya Shule ya Msingi, bwana Ahmed Abulmajid Shaaban.
 Mshauri wa Mahusiano ya Umma wa Zantel, Mohamed Mussa akikabidhi vifaa vya kusomea kwa watoto wenye ulemavu wa macho wa shule ya msingi Kisiwandui kwa Mkurugenzi wa Elimu ya Shule ya Msingi, bwana Ahmed Abulmajid Shaaban. Anayetazama katikati ni mwalimu mkuu wa shule Bi Taifa Ahmed.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.