Habari za Punde

Athari za Mvua za Masika Zikijitokeza Baadhi ya Maeneo ya Mji wa Zanzibar.

Manispa ya Zanzibar kupitia Idara yake ya Michirizi kwa kukemea tabia ya Wananchi kutumia kunyesha kwa mvua na kutupa taka taka katika misingi ya maji huleta madhara kwa wakaazi wa eneo hilo kwa kujaa kwa maji kutokana na kuziba misingi hiyo kama inavyoonekana katika picha hii ni sehemu ya mtoni msingi huu ukiwa umezidiwa na mataka na kutuwa sehemu hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.